Ondokana na madaftari. Smart Manager inakusaidia kusimamia mauzo, stoo, na faida kupitia simu yako ya mkononi.
Kila kitu unachohitaji kwa ajili ya usimamizi na ukuaji wa biashara yako kipo sehemu moja.
Pata ripoti za bidhaa zilizoisha na arifa (alerts) kabla mzigo haujaisha dukani.
Gundua bidhaa inayokuingizia faida zaidi na dhibiti matumizi ya biashara yako.
Chat na "Mangi AI" kupata uchambuzi wa biashara yako na ushauri wa kitaalamu.
Mfumo wetu unatumia Akili Bandia kuchambua mienendo ya mauzo yako na kukupa maelekezo ya nini cha kufanya kukuza mtaji.
Usahihi wa Ripoti
Uchambuzi wa Data
"Nimegundua kuwa bidhaa ya 'Vinywaji' inatoka sana Alhamisi na Ijumaa. Mapendekezo: Ongeza mzigo Jumatano ili usikose faida wikendi hii."
Pakua Smart Manager sasa kwenye simu yako na uanze kufurahia uhuru wa kusimamia biashara ukiwa mahali popote.